Habari
-
03.05.2021Katiba ya Mei 3, 1791 (Sheria ya Serikali) ilipitishwa na Bunge la Poland (Sejm) Mei 3, 1791 ambalo lilikuwa katika kikao tangu 1788, ambayo katika historia ya Poland inajulikana kama Bunge la Miaka Minne au Bunge Kuu.
-
20.11.2020Mnamo tarehe Oktoba 20, 2020 Mheshimiwa balozi alifika Baraza la Kiswahi la Taifa la Tanzania (BAKITA) kwa ajili ya kufanya mtihani wake. Baada ya mtihani aliweza kupata ufaulu wa juu yaani daraja la kwanza.
-
-
25.09.2020Mnamo Septemba 25, 2020 Ubalozi wa Jamuhuri ya Poland Dar es Salaam iliandaa onyesho la filamu ya "The coldest Game" kwenye ukumbi Alliance Francaise na ufunguzi wa maonyesho ya "John Paul wa pili - Papa wa Mdahalo".