Ili kuhakikisha huduma bora zaidi, tunatumia faili ndogo zinazoitwa kuki. Wakati wa kutumia wavuti yetu, faili za kuki zinapakuliwa kwenye kifaa chako. Unaweza kubadilisha mipangilio ya kivinjari chako wakati wowote. Kwa kuongezea, utumiaji wako wa wavuti yetu ni sawa na idhini yako kwa usindikaji wa data yako ya kibinafsi inayotolewa na njia za elektroniki.

Ubalozi

Ubalozi wa Jamuhuri ya Poland Dar es Salaam

Anuani: 15 Mtwara Road, Oysterbay, P.O. Box 249, Dar es Salaam
Simu: +255 22 222 10 50
Barua pepe: daressalaam.amb.sekretariat@msz.gov.pl
X: @PLinTanzania

Instagram: @polandintanzania
Masaa ya kazi ya Ubalozi: Jumatatu - Ijumaa saa 2:15 Asubuhi – saa 10:15 Jioni.

Sehemu ya Konsula

Anuani: 15 Mtwara Road, Oysterbay, P.O. Box 249, Dar es Salaam
Simu: +255 22 222 10 50
Barua pepe: daressalaam.amb.sekretariat@msz.gov.pl
X: @PLinTanzania

Instagram: @polandintanzania
Masaa ya kazi ya konsula: Jumanne, Jumatano na Alhamisi saa 3:00 Asubuhi – saa 9:00 Jioni.

Nchi zinazotumia Ubalozi huu

Tanzania, Burundi, Comoros, Malawi, Rwanda

Kufungwa kwa Ubalozi 2025

Date

Day

Holiday

1 January

Wednesday

New Year's Day

6 January

Monday

Epiphany

7 April

Monday

Karume Day

18 April

Friday

Good Friday

21 April

Monday

Easter Monday

1 May

Thursday

Labour Day

7 July

Monday

Saba Saba

19 June

Thursday

Corpus Christi

8 August

Friday

Farmers' Day

15 August

Friday

Assumption of Mary

11 November

Tuesday

Poland Independence Day

14 October

Tuesday

Mwalimu Nyerere Day

9 December

Tuesday

Independence Day

25 December

Thursday

Christmas Day

26 December

Friday

Boxing Day

 

Malalamiko na maoni

Tafadhali tambua kwamba malalamiko na maoni yanapokelewa:

1. Kwa kutuma kwenye anuani ya ubalozi

2. Kupitia barua pepe ya Ubalozini: daressalaam.amb.sekretariat@msz.gov.pl

Kumbuka: Malalamiko na maoni yatumwayo kwa kielectroniki yawe na jina, jina la ukoo na anuani ya mtumaji.

3. Kwa kuongea

Wanaotaka kutoa malalamiko au kutoa maoni yao kuhusu Ubalozi wanakaribishwa kwenye Ubalozi wetu.

  • Jumatatu kati ya Saa 8:00 Mchana – Saa 10:00 Jioni
  • Jumatano kati ya Saa 10:15 Jioni – Saa 11:15 Jioni

kwa simu au kupitia barua pepe ya utangulizi ili kuomba mihadi

Zingatia: Kwa sababu za kishirika, tungependa kuwaomba wale waotaka kuleta malalamiko binafsi kuwasiliana nasi angalau kabla ya siku mbili za kazi kwa kukutana.

4.  Kwa kuleta barua ubalozini moja kwa moja (Jumatatu mpaka Ijumaa kati ya saa 2:15 Asubuhi –Saa 10:15 Jioni).

{"register":{"columns":[]}}