Kwenda Nyuma

Maadhimisho ya Siku ya Ulaya nchini Tanzania

15.05.2022

Mnano tarehe 9 Mei, 2022, tuliadhimisha Siku ya Ulaya jijini Dar es Salaam. Katika tafrija hiyo iliyohudhuriwa na Waziri wa Mambo ya Nje, LiberataMulamula, Mabalozi wa Umoja wa Ulaya na wageni mbalimbali, maonesho ya picha za miradi ya maendeleo inayotekelezwa nchini Tanzania na Nchi Wanachama yaliwasilishwa.

EU_DAY_2022 Dar_1

Ubalozi wetu uliwasilisha miradi iliyofadhiliwa na misaada ya Kipoland katika nyanja ya elimu ya watoto na ulinzi wa afya. Maonyesho hayo yalipata umaarufu mkubwa miongoni mwa wageni waliokusanyika.

Picha (4)

{"register":{"columns":[]}}