Kwenda Nyuma

Tuliadhimisha Sikukuu ya Uhuru nchini Tanzania

11.11.2023

Katika tafrija ya kuadhimisha miaka 105 tangu Poland kupata uhuru, ilioandaliwa katika bustani za Ubalozi wa Poland mjini Dar es Salaam, Balozi Krzysztof Buzalski aliwasilisha maonyesho ya "Wanawake wa Uhuru", wakati bendi ya wamisionari wa kimataifa iliimba nyimbo za Kipolandi. Pia havikukosekana vyakula vya Kipoland vilivyoandaliwa na Ubalozi.

Święto_Niepodległości_0

Balozi Buzalski aliwasilisha salamu za dhati kwa Wapolandi waliokusanyika na kawahimiza kuendela kuwasiliana na Ubalozi.

Tafrija, iyowakusanya dazeni kadhaa za Wapolandi na wahitimu wa Tanzania wa vyuo vikuu vya Poland, pia ilikuwa fursa ya kuonja vyakula vya jadi vya Kipolandi kwa sauti za muziki wa kisasa wa Kipolish na kimataifa.

Picha (8)

{"register":{"columns":[]}}