Kwenda Nyuma

Tulishabikia timu ya taifa ya Poland wakati wa EURO 2024

28.06.2024

Ubalozi wa Poland jijini Dar es Salaam uliandaa uangaliaji wa pamoja za mechi za Poland katika hatua ya makundi wakati wa Mashindano ya mpira wa migu ya Ulaya.

EURO 2024_00

Mechi za timu yetu dhidi ya Uholanzi, Austria, na Ufaransa ziliwakusanya Wapoland wanaoishi Tanzania pamoja na marafiki wa Poland na vilevile marafiki wa kidiplomasia. Ingawa timu yetu ya taifa haikuwa na bahati, hali ya shangwe ilitwala.

Picha (4)

{"register":{"columns":[]}}