Kwenda Nyuma

Ubalozi wa Jamhuri ya Poland jijini Dar es Salaam umefungwa tarehe 12 Januari 2026

09.01.2026

Kitengo cha Viza cha Ubalozi wa Jamhuri ya Poland jijini Dar es Salaam kitakuwa imefungwa tarehe 12 Januari 2026 kutokana na sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Zdjęcie_urzędu_na_Twittera_0

Siku hiyo, masuala ya viza, ya kisheria, ikiwa pamoja na kazi za uhalalishaji na tafsiri, hazitafanyika.

{"register":{"columns":[]}}