Ubalozi wa Jamhuri ya Poland jijini Dar es Salaam umefungwa tarehe 29 Oktoba 2025.
29.10.2025
Ubalozi wa Jamhuri ya Poland jijini Dar es Salaam, pamoja na Kitengo cha Viza, zitakuwa zimefungwa tarehe 29 Oktoba 2025 kutokana na uchaguzi mkuu.
Siku hiyo, masuala ya viza, ya kisheria, ikiwa pamoja na kazi za uhalalishaji na tafsiri, hazitafanyika.