Kwenda Nyuma

Ubalozi wa Jamhuri ya Poland jijini Dar es Salaam utafungwa Januari 6-7, 2022

28.12.2021

Tunapenda kuwafahamisha kuwa ubalozi wa Jamhuri ya Poland jijini Dar es Salaam utafungwa tarehe 6-7 Januari 2022.

Announcement_general

Ubalozi utaanza kufanya kazi tena Jumatatu Januari 10, 2022.

{"register":{"columns":[]}}