Kwenda Nyuma

Ubalozi wa Jamhuri ya Poland jijini Dar es Salaam utafungwa tarehe 25 Agosti 2026

20.08.2026

Tunapenda kuwajulisha kwamba tarehe 25 Agosti 2026, ubalozi utakuwa umefungwa kwa huduma kwa umma kutokana na maadhimisho ya sikukuu ya Maulid.

Zdjęcie_urzędu_na_Twittera_0

Tafadhali zingatia kwamba watu ambao tayari wameweka miadi kupitia mfumo wa e-konsulat kwa ajili ya huduma za kibalozi watahudumiwa kulingana na muda wa miadi waliopangiwa.

{"register":{"columns":[]}}