Habari
-
08.04.2026Mfumo wa Kuingia/Kutoka (EES) ni mfumo mpya wa usimamizi wa mipaka barani Ulaya kwa ajili ya kusajili raia wasiokuwa wa Umoja wa Ulaya wanaosafiri kwa muda mfupi, kila wanapovuka mipaka ya nje ya nchi 29 za Ulaya.
-
31.03.2026Tafadhali fahamu kuwa Ubalozi wa Jamhuri ya Poland jijini Dar es Salaam, ikijumuisha sehemu ya ubalozi, utafungwa tarehe 3, 6 na 7 Aprili 2026 kutokana na sikukuu za Pasaka na Siku ya Karume.
-
19.03.2026Tafadhali fahamu kuwa Ubalozi wa Jamhuri ya Poland jijini Dar es Salaam, ikijumuisha sehemu ya ubalozi, itafungwa tarehe 20 Machi kwa sababu ya kuadhimisha Eid al-Fitr.
-
24.02.2026Katika kumbukizi ya miaka minne tangu kuanza kwa uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, Ubalozi wa Jamhuri ya Poland jijini Dar es Salaam, kwa ushirikiano na Ubalozi wa Ukraine nchini Tanzania, uliandaa onesho hilo. Filamu hiyo ilijumuisha maonesho ya picha ya "Mama, Sitaki Vita."
-
07.02.2026Zaidi ya wachezaji 30 kutoka nchi tano, michezo ya kusisimua, na mshiriki mwenye umri wa miaka 11 - hivi ndivyo yalivyokuwa mashindano ya kwanza ya "Urafiki Gambit” ya Chess yaliyofanyika tarehe 7-8 Februari 2026 jijini Dar es Salaam.
-
09.01.2026Kitengo cha Viza cha Ubalozi wa Jamhuri ya Poland jijini Dar es Salaam kitakuwa imefungwa tarehe 12 Januari 2026 kutokana na sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar.
-
05.01.2026Chini ya mradi uliyodhaminiwa na Polish aid, vifaa vya matibabu viliwasilishwa katika hospitali mbili za mkoa wa Dar es Salaam na vile vile kwa Kituo cha Mafunzo ya Madawa ya Dharura ya Tanzania-Poland na kuimarisha mfumo wa huduma ya dharura ya matibabu ya Tanzania.
-
10.12.2025 OltotoiMradi wa mwaka huu, unaofadhiliwa na Msaada wa Poland katika wilaya ya Ndotoi, Tanzania, ulikuwa na lengo kuu la kuongeza fursa za wanawake wa hapa kupata uchunguzi sahihi na kinga dhidi ya magonjwa ya kuambukiza.
-
08.12.2025Tarehe 6 Desemba, maonesho ya "JUICE Tanzania" yaliyoandaliwa na mtaalamu wa upigaji picha kutoka Poland, Mickey Wyrozębski yalifunguliwa rasmi katika Nafasi Art Space, Dar es Salaam. Ufunguzi hiyo ilifanyika chini ya Udhamini wa Heshima wa Ubalozi wa Jamhuri ya Poland jijini Dar es Salaam.
-
04.12.2025 SegereaMnamo mwaka 2025, kwa ufadhili wa Polish Aid, ilizinduliwa maktaba mpya katika Kituo cha Elimu cha St. Maximilian huko Segerea na kupatiwa vifaa, na hivyo kuboresha mazingira ya kujifunzia kwa wanafunzi wa kidato cha sekondari.