Habari
-
07.02.2026Zaidi ya wachezaji 30 kutoka nchi tano, michezo ya kusisimua, na mshiriki mwenye umri wa miaka 11 - hivi ndivyo yalivyokuwa mashindano ya kwanza ya "Urafiki Gambit” ya Chess yaliyofanyika tarehe 7-8 Februari 2026 jijini Dar es Salaam.
-
09.01.2026Kitengo cha Viza cha Ubalozi wa Jamhuri ya Poland jijini Dar es Salaam kitakuwa imefungwa tarehe 12 Januari 2026 kutokana na sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar.
-
05.01.2026Chini ya mradi uliyodhaminiwa na Polish aid, vifaa vya matibabu viliwasilishwa katika hospitali mbili za mkoa wa Dar es Salaam na vile vile kwa Kituo cha Mafunzo ya Madawa ya Dharura ya Tanzania-Poland na kuimarisha mfumo wa huduma ya dharura ya matibabu ya Tanzania.
-
10.12.2025 OltotoiMradi wa mwaka huu, unaofadhiliwa na Msaada wa Poland katika wilaya ya Ndotoi, Tanzania, ulikuwa na lengo kuu la kuongeza fursa za wanawake wa hapa kupata uchunguzi sahihi na kinga dhidi ya magonjwa ya kuambukiza.
-
08.12.2025Tarehe 6 Desemba, maonesho ya "JUICE Tanzania" yaliyoandaliwa na mtaalamu wa upigaji picha kutoka Poland, Mickey Wyrozębski yalifunguliwa rasmi katika Nafasi Art Space, Dar es Salaam. Ufunguzi hiyo ilifanyika chini ya Udhamini wa Heshima wa Ubalozi wa Jamhuri ya Poland jijini Dar es Salaam.
-
04.12.2025 SegereaMnamo mwaka 2025, kwa ufadhili wa Polish Aid, ilizinduliwa maktaba mpya katika Kituo cha Elimu cha St. Maximilian huko Segerea na kupatiwa vifaa, na hivyo kuboresha mazingira ya kujifunzia kwa wanafunzi wa kidato cha sekondari.
-
03.12.2025Mwaka huu, Polish Aid ilisaidia mradi unaolenga kuzindua mfumo wa kisasa wa umwagiliaji kwa mashamba ya mahindi ya Kituo cha Mafunzo ya Kilimo na Mifugo cha Kilacha (KALTC).
-
01.12.2025Tarehe 28 Novemba, Ubalozi uliandaa tafrija maalum ya kuadhimisha miaka 107 ya Poland kupata uhuru na kuwakusanyisha wanajumuiya ya kipoland nchini Tanzania, pamoja na wahitimu wa kitanzania wa vyuo vikuu vya Polandi.
-
24.11.2025 Dar es SalaamTarehe 17 Novemba 2025 tuliandaa onyesho la filamu ya Kipoland "Gods," ('Miungu') tukiadhimisha kumbukumbu ya miaka 40 ya mafanikio makubwa ya Prof. Zbigniew Religa - upandikizaji wa moyo wa kwanza kufanikiwa nchini Polandi.
-
24.11.2025Tulitembelea bonde la Kilombero, Tanzania, kufuatilia mradi unaotekelezwa kwa ushirikiano na Mradi wa Tembo Kusini mwa Tanzania (STEP), wenye lengo la kuimarisha ujasiriamali na kukuza elimu ya mazingira mkoani humo.